SALLAM SK смотреть последние обновления за сегодня на .
SALLAM SK AMTAJA MPENZI WA AMMY GAL MBELE YA BOSS WAKE DIAMOND PLATNUMZ
Sallam SK Afichua Siri Ya Mafanikio Ya Diamond?, Awachushia Ushauri Mzito Wasanii
#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Sallam Sharaff ni lejendari, na hilo liko wazi kwa anayetaka na asiyetaka, kwa umuhimu wake kwenye maisha ya msanii nambari moja kwa sasa ni kama nywele, usipomkuta kichwani basi hata kwapani hatokosekana. Na kwa utashi wangu nadhani kama wana Bongo Flava au wasanii ambao ‘wako tayari kuwekeza’ basi wangemkimbilia kwa kasi ya 4G ilimradi wapate mawazo tu ya jinsi gani wanaweza kufanya ‘meli’ yao ifike na pale panapotokea mrama wajue wimbi gani la kuliepuka na wimbi gani ndo walipandie kwa juu. Sallam si muongo na hili ninalijua kwasababu ni rafiki yangu, atakavyokuambia ndivyo lilivyo, Sallam anapenda pesa na hilo liko wazi na wala hajifichi nalo ila kubwa zaidi Sallam anapenda MAENDELEO. Ukitaka msielewane naye milele na milele basi onyesha nia au muonyeshe moja kwa moja kama unataka ’kumharibia’ mkate wake. Hakika hatokuacha salama. Atahakikisha unaenda na maji kwasababu mkate wake ndo maisha yake. Tofauti yake na wengi wetu ni kwamba wengi wetu tukijua mtu anataka kukuharibia basi na wewe utajificha au utamuepuka au utamchukia tu, Sallam yeye atakuonyesha waziwazi kama HAKUPENDI. Muziki anaufahamu vizuri tu na mengine anayang’amua as we go kama binadamu wa kawaida, mapenzi yake kwa mziki huu na kwa kupenda anachokifanya ndo kunamfanya awe THE BEST MANAGER. Maisha na mipango na maendeleo ya msanii nambari moja kwa sasa yalianza kubadilika sana mara baada ya Sallam kuingia kazini, na ilibidi aanze kama International Manager maana kwa upande wa ndani tayari Babu Tale na Said Fella walikua washapatawala. Haikua kesi kwake, ambacho alikifanya ni kuhakikisha Diamond anapata collabo na show nyingi za nje ambazo yeye alikua anaenda naye. Wakati akiwa wanapokua alitumia nafasi hiyo kutengeneza network nyengine. Mipango yake na uwajibikaji na jinsi vitu vilivyokua vinasogea vilimfanya Platnumz ampende zaidi, amshirikishe kwenye mambo mengi zaidi ambayo matunda na malipo yake ndo haya ambayo wanakula leo na kesho na keshokutwa ilhali mimi na wewe tunashuhudia historia inavyozidi kuandikwa. Kwa Said Fella kupata udiwani nako pia kulimfanya Sallam apate majukumu zaidi ya hata ya ndani sasa maana kipindi kile cha Hayati JPM kazi ilikua inabidi ifanyike na Sheikh Said alipigiwa kura na watu, so mara nyingi ilikua inabidi afanye kazi za kutumikia wananchi wake, na huku nyuma Sallam akawa anaezeka banda lake la kuishi kwenye ufalme wa Diamond Platnumz. Nakumbuka mwaka 2018, London Town, Diamond alimaliza show zake na Sallam akabaki nyuma, kilichowapeleka kule ilikua ni show ambayo yeye Sallam, my cousin Dulla Meru na moja ya mapromota hodari kutoka Nigeria ambaye anaishi London Ndugu Smed waliiandaa, ilienda poa na naamini ile ilifungua milango mingi sana. Alibaki nyuma kuhakikisha mambi yote yanakwisha freshi na pia kutengeneza network nyengine kwa matumizi ya baadae. Alibaki nyuma na mimi. Tuli enjoy, tuli jifunza na pia yeye aliweza kuweka MIZIZI yake vizuri ili mbuyu huu tunao uona leo usimame. Mawe mengi mno kapigwa. Maneno mengi sana yamesemwa juu yake, kama binadamu hawezi kuwa amekamilika au kamaliza, ila jitihada zake na kazi ambayo anaifanya inabaki inamzungumza kwa niaba yake. Kama ambavyo yeye anasema, kwanza yeye ni MFANYA BIASHARA, mengine yanakuja baada ya hapo. Diamond anamlipa Sallam kwa asilimia kila mara anapoleta BIASHARA kwenye MEZA YAKE. Faida ni ya WOTE. Sio mmoja ananenepa na mwengine anakonda kama ilivyo kwenye mahusiano mengi ya biashara hapa nyumbani na pengine Afrika na duniani kwa ujumla. Ukiniuliza mimi nitakuambia, hapa kuna mengi ya kujifunza. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Support us through 🤍 SUBSRIBE TO OUR CHANNEL 🤍 Listen our Podcast on Spotify Link 🤍 ApplePodcast Link 🤍 GooglePodcast Link 🤍 Audiomack Link 🤍 YouTube Link 🤍 Soundtrack Yeah by 🤍MarcoChali 🤍 Follow: Twitter: 🤍 Instagram: 🤍 Facebook: 🤍 Channel Administered by Slide Digital Instagram: 🤍instagram.com/slidedigitaltz
SALLAM SK AFUNGUKA KILA KITU - MAISHA/HARMONIZE/DIAMOND/WASAFI
#dullysantz#santzmedia#sallamsk IFAHAMU HISTORIA YA SALLAM SK, MANAGER ANAEMMILIKI MSANII MKUBWA NCHINI TANZANIA AMBAE KWA SASA ANAPENDWA NA WALIOWENGI NCHINI Kuna historia nyingi sana kumuhusu sallam Sk na nyingi huwa hawaendi deeply kuhusu yanayomuhusu Katika maisha yake binafsi leo kupitia channel yetu tunakusogezea mataalam Huyo na uweze kumfahamu zaidi •Email dullysantz🤍gmail.com •instagram Dullysantz 0011 •twiter Dullysantz •facebook Dullysantz
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Msanii wa muziki na mtangazaji Baba levo amefunguka mambo mengi kuhusu muziki wake na maisha kwa ujumla akiwa kama mwanafamilia wa wasafi.
DIAMOMD ALIVYOTINGA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA SALLAM SK, MABAUNSA KIBAO... Sallam SK ambaye ni meneja wa msanii Diamond, amefanya birthday party usiku wa leo may 11, 2022, ambapo mastaa mbalimbali wamehudhuria party hiyo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
East African number one Youtube channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS KANUNI NA MUONGOZO Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali. WeAreEverywhere #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
#DiamondPlatnumz
WIMBO WA DIAMOND UMEVUJA/MENEJA WAKE SALLAM SK AHUSISHWA
Exclusive na Manager wa #DiamondPlatnumz #SallamSk kwenye Show ya #WasafiFestival ya Morogoro. Shot and Edited by Akili Saleh Titled by Dan Paul
#diamondplatnumz #harmonize #wasafimedia
SALLAM SK AMJIBU HARMONIZE BAADA ya KUMUITA 'KIPARA' - ''KAUA LEBO, KAFUNGUA KUNDI''..... HIZI ni ripoti za kiburudani kutoka Global TV tumekusogezea hii hapa kuhusiana na Harmonize... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
#EXCLUSIVE #DFIGHTER #SALLAMSK Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news🤍gmail.com ⚫️ Website: 🤍dar24.com ⚫️ Instagram: 🤍Dar24Tz ⚫️ Facebook: 🤍dar24news ⚫️ Twitter: 🤍Dar24News #Dar24 #Dar24Media
#babutale #sallamsk Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership 🤍
VIDEO: SALLAM SK AUKATAA MKONO WA HARMONIZE MSIBANI
#wasafi #aimzuchuEp
HARMONIZE Uso Kwa Uso Na DIAMOND, SALLAM SK, BABU TALE Kwenye Msiba Wa Aliyekuwa Mke wa BABU TALE
........................................................... Contact Us : 0742447854 - Instagram 🤍 - Facebook 🤍 - Website 🤍rickmediatz.com -
#exclusive #originaleastmedia #wasafi #diamondplatnumz #sallamsk
😳Harmonize na Sallam sk walivyokutana na Kusalimiana😂 KIPARA😂..#shorts #trendingshorts #harmonize #live #shorts #trendingshorts #trendingvideo #entertainment #harmonize #wcb #kondegang
Kitendo cha kusikitisha kilichotokea msibani leo Harmonize alienda na msanii wake Ibrah Morogoro kwaajili ya kumuaga mwili wa aliyekuwa mke wa meneja wa wcb Babu tale.
........................................................... Contact Us : 0742447854 - Instagram 🤍 - Facebook 🤍 - Website 🤍rickmediatz.com - #Harmonize #SallamSk
#FazaNationWorldWide 🌍🌏🌎 #Simba #Diamond Platnumz amekutana na Nyota kutokea nchini Nigeria #Wizkid katika Tamasha la #AfroNationPortugal2022 ambalo linafanyika Nchini Ureno. Diamond ni Msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kupanda kwenye Jukwaa hilo mwaka Huu. Hallo ‼️ Habari 😊 Karibu #FazaNationWorldWide 🌍🌎🌏 Jumba la Habari za Uhakika na Burudani zenye Ladha adhimu Kwa Lugha ya Kiswahili ❤️. UNAWEZA KUTUFUATILIA PIA KUPITIA 👇 TIKTOK : tiktok.com/🤍fazanationworldwide INSTAGRAM : 🤍 TWITTER : 🤍 Tunauthamini 🙌 mchango Wako Katika sisi Kukua Na Kusonga mbele , Tunatamani uwe Mmoja wa Wafuasi wetu Katika mtandao wa #Whatsapp Kwa sababu Kupitia Mtandao Huu , Utapata Habari mbalimbali Zilizoteka vichwa vya Habari Duniani kote Kwa haraka Zaidi Kupitia WHATSAPP STATUS YAKO 🔥. UNAWEZA KUTUPATA PIA KUPITIA WHATSAPP 👇 🤍 FACEBOOK : 🤍 BLOG : 🤍 YOUTUBE : 🤍 Hifadhi (Save) nambari Yetu katika Simu yako ya Kiganjani , Kisha tutumie Ujumbe mfupi ili Uweze Kuwa Shuhuda wa Kile tunachokifanya 😊🙌. PIA TUNAPATIKANA KATIKA MITANDAO MINGINE IKIWEMO 👇 TELEGRAM : 🤍 AUDIOMACK : 🤍 SPOTIFY : 🤍 KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA HABARI NA BURUDANI #FNWW 🌍🌎🌏 Diamond na Zuchu Zuchu Jaro Zuchu fire Diamond Platnumz na Zuchu Zuchu na Diamond #Wasafi #WCB #WCBWasafi #WizkidFC #AfroBeats
........................................................... Contact Us : 0742447854 - Instagram 🤍 - Facebook 🤍 - Website 🤍rickmediatz.com - #SallamSk
Please watch: "(63) SIZE 8 AFUNGUKA KUHUSU WOKOVU WAKE/SISIKIZI SECULAR ARTISTES/KWANINI AKOTHEE ANAFAA KUOKOKA " 🤍 ~ SALLAM SK AELEZA KUHUSU TETESI ZA DIAMOND KUHUSISHWA NA KESI YA DAWA ZA KULEVYA NA KUMZUNGUMZIA ROMMY JONES WATCH YOUR FAVORITE SHOW IN EAST AND CENTRAL AFRICA , #MSETO_EAST_AFRICA NA #MZAZI_WILLY_M_TUVA