Sengerema смотреть последние обновления за сегодня на .
#musicdistributer
Ming'aro Pictures Empire I MPE Contact Us: +255 765 283 639
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda 🤍baba_keagan akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa amefika Sengerema ambapo amepanda ndani ya lori na Vijana wengine wakati wa mapokezi yake Sengerema.
🔴#Live: MSAFARA WA MAKONDA WASIMAMISHWA SENGEREMA AKIELEKEA MWANZA, ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI... CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍
MFANYABIASHARA AMWAGIWA TINDIKALI SENGEREMA, AMTAJA MWENYEKITI WA KIJIJI, ALILIA SERIKALI.. TUKIO la kutisha limetokea Sengerema Mkoani Mwanza ambapo mfanyabiashara mmoja amedaiwa kumwagiwa na tindikali na watu wasiojulikana jambo lililomfanya awe kwenye hali ngumu ya kiafya, Global TV imefika nyumbani kwa mfanyabishara huyo na kuzungumza naye juu ya tukio zima lilivyotokea.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
#SENGEREMA #MWANZA #TANZANIA #Under the SameZ Sun USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU 🤍 🤍 #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE
TABASAM JIMBO CUP TIMU 180 KUSHIRIKI,NG'OMBE 26 KUSHINDANIWA KILA KATA SENGEREMA! CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍
#BmtvTanzania #Bmtv Tembelea 🤍 INSTAGRAM 🤍 FACEBOOK 🤍 TWITTER 🤍
#AnakujaYesu #VijanaSengerema Tunaishi kana kwamba Yesu haji tena, Mara ya kwanza, alikuja kama mwalimu, aliteswa kama mtumwa. Wengi sana hawakumuelewa kwa wakati ule. Mara ya pili, Anakuja kama Mfalme wa wafalme. Hakika Yesu atakuja na wote wenye haki watafurahi siku hiyo ya ujio wake. Official Video for "AnakujaYesu" by Wapiga Vinubi #AnakujaYesu #VijanaSengerema
ihumiro nao wavunja rekodi watu wengi wa kuyosha #CHADEMA #CCM #TUNDULISSU
#NitamtazamaYesu #Vijanasengerema Official Video for "Nitamtazama Yesu" by Sauti ya Wapiga Vinubi √ Katika maisha yako ya kiroho, ukiona umeshuka sana mpaka ukakosa majibu basi jibu lako liwe "Kumtazama Yesu" pekee, awe kimbilio lako siku zote. √ Mimi Nitamtazama siku zote nami nakupendekezea ndugu yangu Mtazame Yesu pia awe ngome Yako. #NitamtazamaYesu #vijanasengerema
THIS VIDEO WAS UPLOADED BY 🤍medsongagiri1822
Moja ya Ujenzi Mkubwa wa Daraja la Abiria Sengerema Meneja wa bandari ya mwanza Geofrey Lwesya amesema ina bandari kuu sita kama bandari ya south port, north port, musoma kemondo na nyingine, hii ya leo ni bandari ndogo ya lushamba amabayo ipo buchosa, hivyo ujenzi wa bandari hiyo unaendelea kwa kasi na karibuni unakwisha. Kuna jenereta room, vyoo vya kisasa, jengo la abiria, jengo la mizigo mnara wa tanki la maji hivyo hiyo ni bandari ndogo na ya kisasa. #UJENZIWABANDARI Https://🤍youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU Na. 0766 500 374
Mkutano wa kuhitimu mafunzo ya masterguide &syl Nyampulukana