IKULU CHAMWINO

IKULU CHAMWINO смотреть последние обновления за сегодня на .

Shuhudia namna Rais Samia alivyoingia Ikulu mpya ya Chamwino

64917
313
22
00:04:54
20.05.2023

Shuhudia namna msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulivyoingia Ikulu ya Chamwino tayari kwa ufunguzi wa jengo jipya, ambapo rasmi ndio itakuwa Ikulu kubwa iliyopo Makao Makuu ya nchi, Dodoma. TUKO LIVE #UTV108 na mitandao yetu ya kijamii. #UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania

Namna bendera zilivyopandishwa Ikulu mpya ya Chamwino

12294
81
1
00:02:07
20.05.2023

Hivi ndivyo bendera ya Taifa, Afrika Mashariki pamoja na ile ya Rais zilivyopandishwa juu kabisa kwenye uso wa jengo jipya la Ikulu mpya ya Chamwino na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu anayeongozwa uzinduzi wa Ikulu hiyo ya Makao Makuu ya nchi, Dodoma. TUKO LIVE #UTV108 na kwenye mitandao yetu ya kijamii. #UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania

Rais Magufuli akiwa katika matembezi ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

8780
54
6
00:01:01
24.03.2020

Rais Magufuli akiwa katika matembezi ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma #IkuluDodoma #RaisMagufuli #MagufuliChamwino #MagufuliIkulu #Dodoma Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► 🤍 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

VIDEO: MSAFARA WA RAIS SAMIA UKIELEKEA KUKAGUA MJENGO MPYA WA IKULU YA CHAMWINO

37880
93
30
00:02:23
20.05.2023

VIDEO: TAZAMA MSAFARA WA RAIS SAMIA UKIELEKEA KUKAGUA MJENGO MPYA WA IKULU YA CHAMWINO 🤍 WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM - IKULU, CHAMWINO

20879
139
25
02:17:06
22.10.2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini wa Mikataba Mahsusi 3 ya uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam leo tarehe 22 Oktoba, 2023 Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma.

TAZAMA MUONEKANO WA IKULU MPYA YA CHAMWINO KUZINDULIWA RASMI MEI 20, 2023

18141
56
13
00:00:59
10.05.2023

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 🤍 Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

Ujenzi Wa Ikulu Ya Chamwino Dodoma State House Construction

7642
37
7
00:01:40
23.05.2021

Stages In The Construction On The New Tanzania State House In Chamwino Dodoma City, Checkout The Video.

Rais Samia alivyokoshwa na wimbo wa 'Mama' - Uzinduzi Ikulu Chamwino

3801
11
1
00:03:23
20.05.2023

Wimbo wa 'Mama' wa kwao Christian Bella na Ommy Dimpoz umewanyanyua Rais Samia Suluhu Hassan na baadhi ya viongozi wengine Wanawake katika kusherehekea ufunguzi wa Ikulu mpya ya Chamwino, Dodoma. |#UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania

#TAZAMA| MUONEKANO WA JUU WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA

2594
5
0
00:02:14
21.05.2023

#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍

RAIS MWINYI NA MSAFARA WAKE ATINGA DODOMA KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO

15760
32
2
00:00:50
20.05.2023

RAIS MWINYI NA MSAFARA WAKE ATINGA DODOMA KATIKA UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO 🤍 WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

LIVE | UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA - 20/05/2023

7848
52
9
03:12:25
20.05.2023

Fuatilia Matangazo Mbashara ya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Ikulu ya Chamwino Dodoma, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza shughuli hiyo. #AzamTVUpdates #AzamNews

#TAZAMA| RAIS SAMIA ALIVYOKAGUA GWARIDE IKULU CHAMWINO

577
3
0
00:06:32
21.05.2023

#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍

Mhe Rais aongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu Chamwino Leo 27/05/2020

18954
187
27
00:01:03
27.05.2020

Picha : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri leo tarehe 27 Mei 2020.

Christian bella ( Uzinduzi ikulu chamwino Dodoma ) Thanks my President Mama Samia

11800
131
11
00:05:11
22.05.2023

Christian bella ( Uzinduzi ikulu chamwino Dodoma ) Thanks my President Mama Samia

HUU HAPA MJENGO WA IKULU YA CHAMWINO, UJENZI WAKAMILIKA 100%, WANAJESHI WALIOUJENGA WAFUNGUKA..

14038
77
19
00:04:23
15.11.2022

HUU HAPA MJENGO WA IKULU YA CHAMWINO, UJENZI WAKAMILIKA 100%, WANAJESHI WALIOUJENGA WAFUNGUKA.. Ujenzi wa Ikulu mpya iliyopo Chamwino Dodoma umekamilika kwa asilimia 100 ambapo kwa mujibu wa mwandishi wa TBC ikulu hiyo imebakisha matengezo ya mwisho kwa ajili ya kuipamba. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Msafara wa Rais Samia Suluhu ukiingia Ikulu Chamwino, Dodoma kuwaapisha viongozi wateule

5291
29
0
00:01:36
19.04.2021

Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍

RAIS SAMIA SULUHU KUZINDUA IKULU MPYA CHAMWINO MEI 20, 2023,

5176
12
8
00:02:05
10.05.2023

KULU MPYA CHAMWINO KUZINDULIWA MEI 20, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua jengo iipya la Ikulu, Chamwino, Dodoma, Mei 20, 2023 Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeandaa simulizi maalumu chini ya Mkurugenzi wake Zuhura Yunus, kuelezea tukio hilo kubwa la kihistoria ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

🔴#LIVE: ZUCHU NA HADIJA KOPA MBELE YA JPM IKULU YA CHAMWINO DODOMA MUDA HUU

19218
146
11
00:06:36
12.07.2020

🔴#LIVE: ZUCHU NA HADIJA KOPA MBELE YA JPM IKULU YA CHAMWINO DODOMA MUDA HUU ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MSTAAFU KIKWETE AFICHUA WALIOKATAA IKULU IJENGWE CHAMWINO, MBELE ya RAIS SAMIA AFUNGUKA...

30500
152
85
00:08:54
20.05.2023

MSTAAFU KIKWETE AFICHUA WALIOKATAA IKULU IJENGWE CHAMWINO, MBELE ya RAIS SAMIA AFUNGUKA... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2023 ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

BURIANI JPM: MWILI WA JPM UKIPELEKWA IKULU YA CHAMWINO

58051
158
16
00:09:59
21.03.2021

Msafara wa vikosi vya usalama vikiusindikiza mwili wa hayati John Magufuli kuelekea Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma kwa ajili ya kuupumzisha tayari kwa ajili ya shughuli ya kitaifa ya kuuaga itakayofanyika Jumatatu jijini humo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

RAIS SAMIA | HISTORIA ISHAELEZWA NA MPOTO SITAIRUDIA | IKULU MPYA CHAMWINO | DODOMA

815
11
3
00:11:36
21.05.2023

MHE. RAIS SAMIA AKIZINDUA IKULU MPYA YA CHAMWINO - DODOMA

Rais Samia kuongoza ufunguzi wa Ikulu mpya Chamwino - Dodoma

2875
11
0
00:02:27
19.05.2023

Rais Samia Suluhu Hassan kesho Mei 20, 2023 ataongoza tukio la kihistoria la ufunguzi wa Ikulu mpya iliyojengwa Chamwino, Dodoma ikiwa imejengwa na Jeshi la Ulinzi la Tanzania (JWTZ) kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ambapo ujenzi ulianza Februari 12 mwaka 2020. #AzamTVUpdates

LIVE: MWILI WA HAYATI RAIS MAGUFULI UMEWASILI IKULU CHAMWINO

29456
141
44
00:12:11
21.03.2021

#millardayoUPDATES

HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI-DAR ES SALAA NA CHAMWINO-DODOMA

20832
57
9
00:32:35
20.05.2023

HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI-DAR ES SALAA NA CHAMWINO-DODOMA

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma.

3239
15
0
00:19:56
11.10.2021

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU CHAMWINO, MKOANI DODOMA LEO TAREHE 11 OKTOBA, 2021. VIONGOZI WATEULE WANAOAPISHWA NI: 1. MHE. SOFIA EDWARD MJEMA, KUWA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA. 2. MHE. JAJI OMAR OTHMAN MAKUNGU, KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA. 3. MHE. JAJI MUSTAPHA SIYANI, KUWA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA. #SSH #KaziIendelee #Tanzania

Live:Rais Magufuli akiwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri aliowateua ikulu chamwino

37528
287
16
03:30:02
09.12.2020

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli anaapisha mawaziri na Manaibu waziri alio wateua kukamilisha baraza lake la Mawaziri leo ikulu Chamwino Dodoma

WAZEE WA MINYAMA WALIVYOFANYA ZINDIKO IKULU CHAMWINO

4471
61
20
00:02:03
17.05.2023

WAZEE WA MINYAMA WALIVYOFANYA ZINDIKO IKULU CHAMWINO WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya CCM, Ikulu Chamwino jijini Dodoma Novemba 12, 2022

13920
20
10
00:01:41
13.11.2022

Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

MHE. RAIS SAMIA AKIZINDUA IKULU MPYA YA CHAMWINO - DODOMA

27233
174
8
00:49:33
20.05.2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2023

Назад
Что ищут прямо сейчас на
IKULU CHAMWINO silvercarp raw dng fire force inferno BANG BANG BANG Duck Farm Muzaffarpur искусство кино Guide Mina киноиндустрия Алиасхаб agressivephonk poco x3 CPU emmc reballing mppsc pw imou cue 2 ipc c22ep imou Mohun Bagan инновации в кино musique kabyle id 6 plugin haversine технологии в кино